ROSARI YA FAMILIA
Tumia Rozari ya kawaida
1. Anza: K. Ee
Mungu unielekezee msaada,
W.
Ee Bwana unisaidie hima.
Atukuzwe Baba……………………
2. Penye Msalaba:
Kanuni ya Imani………………
3. Punje kubwa : Baba yetu…………………
4. Punje 3 ndogo :
Salamu Maria……….. x3
5. Punje kubwa:
Atukuzwe Baba…………
6.
Kwenye Tendo:
K. Yesu, Maria na
Yosefu ninawapenda;
W. Dumisha mapendo na
amani katika familia
Yangu na familia zote ulimwenguni.
7. Punje 10 ndogo:
K. Yesu, Maria na
Yosefu ninawapenda;
W. fanya familia
yangu iwe takatifu kama familia ya Nazareti
8. Malizia: Yesu na Maria na Yosefu ninawapenda,
ninawaaminisha famila yangu. Ninaomba muwajalie wanafamilia yangu wote katika mwisho
wa maisha yao, wajue kuishi pamoja nanyi huko Mbinguni. Amina.
PIA UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HIIZI KWA MAFUNDISHO ZAIDI
Maoni
Chapisha Maoni