TAMBUA UMUHIMU WA KUOMBEA MIMBA KWA MAMA MJAMZITO
TAMBUA NAMNA YA KUMLINDA MTOTO ALIYEKO TUMBONI
NI MUHIMU KUOMBEA MIMBA KWA MAMA MJAMZITO
Fatana nasi kuisikiliza video hii ya Sauti, ili kuweza kujifunza ni namna gani ya kuilinda mimba yako na kumkabidhi Mtoto wako wakifu mkononi mwa Mungu.
Bofya link hii kuitazama video hii ili upate mafundisho zaidi kuhusu hali ya kumlinda mtoto zidi ya Adui angali awapo tumboni.
Somo hili limeandaliwa na Mtumishi Julius Mmbaga
Maoni
Chapisha Maoni