SALA NDANI YA FAMILIA NI FURAHA HATA MBINGUNI
TAMBUA UMUHIMU WA SALA NDANI YA FAMILIA YAKO
Kupitia video hii utajifunza namna ya Sala na familia yako, ukiwa kama Mkristo fuatana nasi ili ujifunze zaidi sala, na mambo mbali mbali kupitia video zetu zenye mafundisho ya kikristo yatakayo kusaidia kuzishinda hila za Adui wakati wote.
mungu akubariki sana naomba uniunge kwenye grpu lako la wasp kwa ajili ya maombi tafadhali mtmish no 0659646812
JibuFutaAsante,tuko pamoja nitakuunga naomba jina lako pia
Futamaombi yako yananibariki sana mtumishi nisaidie,
JibuFutaUkipata muda nipigiye private ili tuongee changamoto unazopitia na tuzidi kuimarishana kiimani zaidi 0766500747
JibuFuta