NOVENA KWA MAMA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI v SEKWENSIA 1. Uje Roho Mtakatifu, Tuangaze toka mbinguni, Roho zetu kwa mwangao. 2. Uje Baba wa maskini, Uje mtoa wa vipaji, Uje mwanga wa mioyo. 3. Ee Mfariji mwema sana, Ee rafiki mwanana, Ee raha mustarehe. 4. Kwenye kazi u pumziko, Kwenye joto, burudisho, U mfutaji wa machozi. 5. Ee mwanga wenye heri, Uwajaze waamini, Neema yako mioyoni. 6. Bila nguvu yako wewe, Mwanadamu hana kitu, Kwake yote yana kosa. 7. Osha machafuko yetu, Panyeshee pakavu petu, Na kuponya majeraha. 8. Ulegeze ukaidi, Pasha moto wa ubaridi, Nyosha upotevu wote. 9. Wape waumini wako, Wenye tumaini kwako, Paji zako zote saba. 10. Wape tuz...
Maoni
Chapisha Maoni